Leo adhabu kwangu. Lkn ndio mpira.
kwanza hii si ilikuwa bonanza tu.
Umeona eeeh, tukirudi ligi kuu tunawapiga 6 kamaaaa...........
Hahahaah! Kaka nilidhani haupo...!Pole sana. Pumzika kama ulivyoomba!
:second:
Mpira hauendi kwa cross multiplicatiom Mkuu.
Kaseja f.u.c.k u.Mchawi,mwanga mshirikina umetuletea mikosi jangwani.Rudi kwenu.Pambav
Leo yanga asiposhinda naachana na mama watoto ,
Choki mbona ni shoga atakufaa kweli? Bora mimi nina majinzi ya kipigo naweza nikakuungurumisha zaid ya mamtatu
Mkuu jana nilikuwa natumia simu quotes nyingi sikuweza kuziona, kwetu sawa mnaweza kuwa mmetulia lakini kwa Al-Ahly hata kama mngetulia kama maji mtungini hamna pa kutokea, nadhani hata jana bado timu yenu haikuwa na tatizo la kiufundi tatizo ilikuwa ni uwezo kwa baadhi ya wachezaji.Nadhani timu itakuwa imetulia...Watakuwa wameelewana tofauti na hii ya sasa...Hata 2nd leg na Simba timu itakuwa imetulia..
Haya mshindwe nyinyi sasa Yondan kalambwa red..
Babu...oooops baby kwani wewe YANGA?
Sithubutu kushabikia timu kibudu.
Yanga for Life
He he hee!na ikiwa hivyo nipewe ban ya wiki nzima!!Pole sana. Pumzika kama ulivyoomba!
!invisible kafanya kweli kwa ACCOUNT FULL looh