Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

poleni sana jangwani naskia kocha wenu kibarua hana hahahaha! poleni sana
 
Nadhani timu itakuwa imetulia...Watakuwa wameelewana tofauti na hii ya sasa...Hata 2nd leg na Simba timu itakuwa imetulia..

Haya mshindwe nyinyi sasa Yondan kalambwa red..
Mkuu jana nilikuwa natumia simu quotes nyingi sikuweza kuziona, kwetu sawa mnaweza kuwa mmetulia lakini kwa Al-Ahly hata kama mngetulia kama maji mtungini hamna pa kutokea, nadhani hata jana bado timu yenu haikuwa na tatizo la kiufundi tatizo ilikuwa ni uwezo kwa baadhi ya wachezaji.
 
Yanga ukiwapakata watamu sana yani wanakupa mapenzi motomoto ya kitanga watoto wamevaa shanga zinazoshikika looooo nimejikuta napiga mabao matatu
 
Sithubutu kushabikia timu kibudu.

ImageUploadedByJamiiForums1387700451.493207.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1387700478.518457.jpg
 
Back
Top Bottom