Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Yanga wanacheza Soka la kueleweka sana
 
Hizo nafasi zicheeni tu tukianza kuzipata sisi mjue ndo basi.
 
Hivi mechi hii lazima mshindi apatikane?
 
Haya, kama kipute kimeanza, nazima simu, TV, computer, redio na njia zote za mawasiliano. Nalala, naweka alarm ya kuniamsha saa 12.30 jioni. Sijui usingizi wenyewe kama utakuja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…