Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najuta kuwa mshabiki wa soka, ni utumwa fulani hivi. Hakuna furaha ya kudumu, leo mnashinda kesho mnashindiliwa!
weee wacha uchawi wewe!! Ngoja 2wabamize kwanza!!
Yanga wameanza kwa kasi.
Naona atakua alitembelea kule kiwandani kunako chongwa Ban (jukwaa la siasa)
Kipute kimeanza
Team yanga,ifunge simba 3 bila warudi kwao msimbazi wakauze juicy
Haya sasa mpira ushaanza nani kidumeeeee!!
Yanga wameanza kwa kasi.