Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Beki ya Simba imechora mstari kwa kizungu huitwa end line.
 
Anakamata vema kabisa Ivo Mapunda.
 
dk 11
MTANI JEMBE,
Simba 0-0 Yanga
 
Mpaka sasa dakika ya 13 Juma Kaseja hajadaka mpira.
 
Msihofu wametangulia tu,hawa jamaa hawana kitu wamefulia
 
Back
Top Bottom