Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Yanga wana matatizo ya kujipanga kwenye dead balls
 
...sasa BP inapanda BP inashuka...
 
Ivo Mapunda kishaanza mbwembwe zake.
 
ImageUploadedByJamiiForums1387632296.912793.jpg
 
...mpira umesimama, Ivo kaumia yuko chini ana gangwa...
 
Back
Top Bottom