Ongeza sauti kidogo.Simba 1-0 Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza sauti kidogo.Simba 1-0 Yanga.
Hapa vijana wakitulia kuna goli nyingi tu.Chanongo unafanya nini?
uwezo wake ndio umeishia kwa kupaisha juu..Chanongo unafanya nini?
Ah Kiongozi, Upo?
Tulia Mkuu, kipigo kwa Simba hakiepukiki, sema hako kagoli kametuharibia hesabu zetu.
Uwa wasema mapema nikupitie kwenda Taifa....
Pole na leo yapo mengi sana.
Hahaa,lols
simba wamepata bao. mfungaji Tambwe Hiza.
simba wamepata bao. mfungaji Tambwe Hiza.