LIVE updates: Taifa Stars vs Bafana Bafana

LIVE updates: Taifa Stars vs Bafana Bafana

Bongo tunaboa sana Star TV wameingiwa kwikwi na sasa eti wanaonyesha highlights za BundesLiga duh tupo nyuma 1-0
 
Sangweni just scores for Bafana SA 1 Tanzania 0

kazi imeanza.....naombea tu vijana wetu wasianze ule mchezo wao wa kulinda goli kwa kuogopa kuongezwa, maana ndio tutakunywa mengi zaidi.
 
TBC na Mkurugenzi wao mpya nadhani watajikita zaidi kuonesha Ziara za JK, NAPE, Pinda na CCM tu, ingawa kodi zetu ndo zinalipa mishahara pale
 
Dakika ya 77 mabadiliko kwa Stars anatoka John Boko anaingia Mbwana Samatta, bado tupo nyuma 1-0
 
Vipi matokeo yapoje mpaka sasa wakuu! kuna dalili zozote za kurudisha hilo bao?
 
Back
Top Bottom