Wamewashinda nani?,wewe huoni hadi sasa hv tunaongoza 1 - 1,au hujui kuwa ushindi wetu ni SARE
Naomba kueleweshwa, hivi ukiombea timu ya mpira ili ifanye vizuri, unatakiwa uombe kwa nani? Kwa Mungu wa mbinguni au kwa Shetani? maana mpira mwanzilishi wake ni shetani, na Mungu anajihusisha na kumkomboa mwanadamu toka mikono ya Shetani.
The unseen is illustrated by the seen.
Vitu anavyofanya Samatta, huwa naviona kwa Real Madrid.
Wakongomani wanamwita Sama Goal................Kaseja kaumia mgongo,anaomba kutoka........Muda umeshakwishaVitu anavyofanya Samatta, huwa naviona kwa Real Madrid.
Kaseja anaendelea........Muda unaelekea kuisha sasaasanteni sana wakuu kwa updates ...kipenga kikilia tujulishane manake dah!!
Full Time....Taifa Stars 2-1 Gambia
Mwinyi Kazimoto yupo chini.....kaumia