Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

asanteni sana wakuu kwa updates ...kipenga kikilia tujulishane manake dah!!
 
Naomba kueleweshwa, hivi ukiombea timu ya mpira ili ifanye vizuri, unatakiwa uombe kwa nani? Kwa Mungu wa mbinguni au kwa Shetani? maana mpira mwanzilishi wake ni shetani, na Mungu anajihusisha na kumkomboa mwanadamu toka mikono ya Shetani.
The unseen is illustrated by the seen.

We ulikuwepo wakati anaanzisha? vaa helmet zinakuja konzi, it is a free advice,take it or leave it!
 
mnasemajeee
551705_190988607694099_1909458850_n.jpg
 
Bala ingawa tunashabikia timu tofauti kwenye level ya klabu lakini upo tofauti sana na mashabiki ghahawa.Big up
man..You are a role model kwangu kwa ushabiki wa mpira
 
Back
Top Bottom