Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

Safi sana Samata..........Erasto Nyoni anapiga........Goooooooooooooooooooooooal
 
Labda Stars itapiga goli la 2 kwenye dkk hizi za mwisho kama ilivyofanya mwaka ule kwa C.A.R
 
Sijaielewa hii penalt,poor technology might have caused this
 
Ama kweli Afrika ya leo hakuna timu ndogo wala mechi rahisi. Hawa Wagambia walitoa droo na Morocco ..
 
Dk ya 84, matokeo ni:
Tanzania 2, Gambia 1
Bao la pili la Tanzania limefungwa na Erasto Nyoni kwa penati.
 
Kaseja very unproffesional,ndo mpira gani sasa huu
 
Back
Top Bottom