Alo mvua so kocha mkwasa!!?Uko sahihi mkuu, ona wachezaji hawana morari kabisa. Wanacheza bora liende tu. Wamemfanyia figisu kanavaro, wakanyang'anya ukepten kinyemela, leo eti wanambembeleza aje acheze mechi kama ya leo. Namsifu kwa kuwatosa. Malinzi muhuni sana.
Uwekezaji mkubwa kama wangekuwepo watu wenye nia ya dhati ya kuhakikisha hilo linafanyika, basi nadhani kwa muda ambao tangu maxime aondoke tungekuwa tumeshathubutu hilo mafanikio yangekuwepo na matunda yake muda huu tungekuwa tunayafaidi. Yaani wala hata swala la sisi kufuzu kwenye michuano ya caf isingukuwa kitu cha kifikirika, tungekuwa tumeshapazoea tatizo kubwa ambalo lingekuwa kule ni kusurvive kwa muda gani ndani ya michuano... hakuna uwekezaji tulioufanya kuboresha timu kwa miaka 5 iliyopita na sioni dalili, kwa kuhakikisha tu hebu angalia ni mafanikio gani tuliyoyapata tangu aondoke? hata uu mpira mzuri tunaouona ni transformation aliyoifanya Maxime, binafsi hii timu niliacha kuishabikia hii timu tangu 2010Yaani unatakiwa uwekezaji na uangalizi mkubwa sio mchezo mambo haya ni sawa na kutaka kufika penye kilele cha mnazi hakuna njia ya mkato hapo
....acheni politics, tumeshakuwa tukipigwa toka enzi za huyo canavaro wenu!Nikusaidie nini labda?
Alivuliwa ukepten na tff kwa mgongo wa kocha mkwasa. Yalikua ni maagzo toka juu mkuu.Alo mvua so kocha mkwasa!!?
Ila nilimkubali alivo kataa kwenda
ungesema nacte wamakubali kuwapeleka wachezaji wote wa timu ya taifa masomoni UDOM.Breaking news:Jecha kufuta matokeo ya mechi hi ya leo na Itatangazwa tar rasmi ya mechi hiyo kurudiwa na itapangwa pale Msoga stadium.
Mafirauni wametufira.... UNI
Hahahaah itasaidia eeeh.!Huyu Samatta tumkabidhi kwa Shilole amzibue akili amezidi kuzubaa
Mtani kwema?tujipange tu sio mambo ya kuamka na tunataka timu icheze kwa kiwango cha kufikirika au kusadikika.Hahahaah itasaidia eeeh.!