Unajitetea kwa mwendo kasiWakuu eeh, hivi mmemuona vizuri huyu refa wa leo makalio yake?
Naona amevimba so isije kua ni chanzo cha Stars yetu kufungwa..
Ila ni wazo langu tu jamani...... 😉😉😉
Yawezekana nikawa naota ndoto ya kweli kuwa mpaka sasa Misri wanaongoza kwa bao mbili bila.Mhmhmh vepe baba, unaota jioni hivi
BosouUlitaka nani acheze labda..?
Itakua ni laana ya kapten wa zamani labda... 🙂🙂🙂
Kabisa mkuu, nadhani tujipange kwa miaka 10 labda ijayo.!Ukweli unaouma, mpira wetu bado sana!
dogo wa mtibwaUlitaka nani acheze labda..?
Yawezekana nikawa naota ndoto ya kweli kuwa mpaka sasa Misri wanaongoza kwa bao mbili bila.
Unauwezo wa kubishana na ndoto za kweli? Karibu
HomeKwani tukishinda tunaenda wapi?
Kumbe kuna wachezaji hewa!! uyu Haji Mwinyi ndio katufungisha haya magol mawili
Ahaa mkuu nimekuelewa sasa, twende pamoja kwenye mechi ya kichwa cha mwendawazimu.Na bado hata tukipigwa kumi hakuna shida sababu Malinzi na TFF yake badala ya kuwekeza nguvu na jitihada kwenye mikakati ya Stars ishinde wao wanang'ang'ania kuendesha Uchaguzi wa Yanga. Malinzi must go tuachie mpira wetu.