Live Updates: Twiga Stars Vs Namibia

Live Updates: Twiga Stars Vs Namibia

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Posts
12,480
Reaction score
4,775
Ni dakika ya 26 sasa

Twiga Stars 1-0 Namibia

Goli limefungwa na Mwanahamis Omar
 
Huyu Mwanahamisi ni hatari kwelikweli....Anainyanyasa sana ngome ya Namibia
 
Naambiwa ITV wamerudi hewani,
mlio nyumbani mtujuze.
 
Naambiwa ITV wapo Live sasa........Mitambo yao imetengamaa.....lol
 
Mmmmmhhhh Huyu kipa wa Twiga Stars huo mtindo wake wa nywele ni kiboko
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooal


Twiga Stars 2-1 Namibia

Mfungaji ni Etoo Mlenzi
 
Huyu Asha Rashid 'Mwalala' naye ni mwiba kwa wa Namibia
 
Back
Top Bottom