Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Ni dakika ya 26 sasa
Twiga Stars 1-0 Namibia
Goli limefungwa na Mwanahamis Omar
Twiga Stars 1-0 Namibia
Goli limefungwa na Mwanahamis Omar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ITV walikuwa na mpango wa kuonesha......Inawezekana mitambo imetibuahii kitu inaonyeshwa wapi?
Ni dakika ya 26 sasa
Twiga Stars 1-0 Namibia
Goli limefungwa na Mwanahamis Rajab
duh!!ITV walikuwa na mpango wa kuonesha......Inawezekana mitambo imetibua
ITV walikuwa na mpango wa kuonesha......Inawezekana mitambo imetibua
Yeah....Tumejifunga katika harakati za kuokoa......Tunawashambulia sana lakiniduh!!
ngoja ni-flip through naweza nikapata wanapoonyesha.
tumejifunga tena??
Ni dakika ya 26 sasa
Twiga Stars 1-0 Namibia
Goli limefungwa na Mwanahamis Omar
Half Time sasa
Twiga Stars 1-1 Namibia
nimekukubari upo fasta sana mkuuGooooooooooooooooooooooooooooooal
Twiga Stars 2-1 Namibia
Mfungaji ni Etoo Mlenzi