Live Updates: Twiga Stars Vs Namibia

Live Updates: Twiga Stars Vs Namibia

Hao dada zetu wako fiti Namibia hawawawezi hata kidogo.
 
Dakika ya 60 sasa

Twiga Stars 2-1 Namibia
 
Hii timu inahitaji matunzo na uangalizi mzuri....Itatuletea sifa nyingi sana mbeleni
 
Timu yetu ni nzuri sana ila tatizo ni stamina na pumzi.......Inabidi Master Charles Boniphace Mkwasa awapigishe maozezi ya nguvu sana
 
ametoka fatuma mustafa anaingia semen abeid
 
Kuna winga anaitwa Mwahahamis Omar kawachambua mabeki wa Namibia hadi golikipa, goli la nne.
 
Back
Top Bottom