Wenzao wako Algeria wao wako na Ndanda
Hii ni Mikia SCThis is Simba
Hii ni Mikia SC
Hao wa algeria waliendaje huko? Kama si kupitia ubingwa wa ligi kuu? Muwe mnatumia akili hata kidogo kuliko kuiacha mpaka inaoza bure tu. Ni mpuuzi anayedharau ligi kuu kama vile anaweza kwenda mashindano ya kimataifa bila ligi kuu au kombe la azam. Ukosefu wa akili kichwaniWenzao wako Algeria wao wako na Ndanda
Exactly mkuuHao wa algeria waliendaje huko? Kama si kupitia ubingwa wa ligi kuu? Muwe mnatumia akili hata kidogo kuliko kuiacha mpaka inaoza bure tu. Ni mpuuzi anayedharau ligi kuu kama vile anaweza kwenda mashindano ya kimataifa bila ligi kuu au kombe la azam. Ukosefu wa akili kichwani
Wooooozeeeeeeer hakunaga kama mnyamaYamkini utapata tu.. This is Simba SC
Gudume GwambeguHao wa algeria waliendaje huko? Kama si kupitia ubingwa wa ligi kuu? Muwe mnatumia akili hata kidogo kuliko kuiacha mpaka inaoza bure tu. Ni mpuuzi anayedharau ligi kuu kama vile anaweza kwenda mashindano ya kimataifa bila ligi kuu au kombe la azam. Ukosefu wa akili kichwani
Wache akili iwajie watakapokosa kushiriki mashindano yoyote msimu ujao ndo watajua umuhimu wa Ligi kuuHao wa algeria waliendaje huko? Kama si kupitia ubingwa wa ligi kuu? Muwe mnatumia akili hata kidogo kuliko kuiacha mpaka inaoza bure tu. Ni mpuuzi anayedharau ligi kuu kama vile anaweza kwenda mashindano ya kimataifa bila ligi kuu au kombe la azam. Ukosefu wa akili kichwani
Pamoja sana ShunieKila la heri mnyama yangu mie point 3 zetu kama kawaida