Live Updates: Vodacom Premier League Simba SC Vs Ndanda FC Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam

Okwiiii... Ni kona kuelekea lango la Ndanda FC. Wakati huo huo mchezaji wa Ndanda yuko chini
 
Ni faulo kuelekea lango la Simba.. Mpira unapigwa lakini Kotei anagonga kichwa
 
43' Goooooaaal Goooooaaal Goooooaaal.. Emmanuel Okwi anaindikia Simba SC bao la kwanza kwa shuti kali la mguu wa kushoto baada ya kupata pasi safi kutoka kwa Kapombe

Simba SC 1-0 Ndanda FC
 
45+3 kuelekea mapumziko kwenye mtanange huu wa VPL

Naam mpira ni mapumziko uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Ambapo Simba SC wapo mbele ya goli moja dhidi ya Ndanda FC
 
Wenzao wako Algeria wao wako na Ndanda
Hao wa algeria waliendaje huko? Kama si kupitia ubingwa wa ligi kuu? Muwe mnatumia akili hata kidogo kuliko kuiacha mpaka inaoza bure tu. Ni mpuuzi anayedharau ligi kuu kama vile anaweza kwenda mashindano ya kimataifa bila ligi kuu au kombe la azam. Ukosefu wa akili kichwani
 
Exactly mkuu
 
Gudume Gwambegu
 
Wache akili iwajie watakapokosa kushiriki mashindano yoyote msimu ujao ndo watajua umuhimu wa Ligi kuu
 
Mpira umeanza kipindi cha pili uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.. Hakuna mabadiliko kwa pande zote
 
46' Simba SC 1-0 Ndanda FC
Ligi Kuu Tanzania Bara VPL
 
Katika Historia siku kama hii ya leo Simba SC walipiga Yanga FC 5-0. Kumbukumbu muhimu wadau wa soka.
 
Simba SC 1-0 Ndanda FC Ligi Kuu Tanzania Bara VPL
 
Back
Top Bottom