Live Updates: Vodacom Premier League Simba SC Vs Ndanda FC Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam

63' Kida Rashid Juma anaingia kuchukua nafasi ya Nicholas Gyan
 
Mpira umesimama baada ya mchezaji wa Ndanda kupata rabsha. Ameinuka na Mpira umeanza
 
76' Asante Kwasi anakwenda kwenye benchi na nafasi yake inachukuliwa na Mohamed Hussein
 
Update: Azam FC 1-1 Stand United
 
83' Ni free kick kuelekea lango la Ndanda FC. Inapigwaaaa na Mpiraaaa unagonga mwamba na kumkuta Boccoooo go go laaa laaa.. Ni Offside, alikuwa tayari ameweka mpira kimiani.
 
88' ligi kuu Tanzania Bara VPL

Simba 1-0 Ndanda
 
Okwiiii anakwenda kwenye benchi na nafasi yake inachukuliwa na Mavugo
 
90' Za mchezo wa VPL kati ya Simba SC dhidi ya Ndanda umekwisha uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Simba wanaibuka na ushindi wa goli moja bila majibu.

Asanteni.. Ghazwat
 
mkuu wasikupe shida hao ni mfa maji haachi kutapatapa wameona msimu huu wamekosa upendeleo wa TFF ndio maana wameamua kutemea mate binaadamu wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…