Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
46' Simba SC 1-0 Ndanda FC
Ligi Kuu Tanzania Bara VPL
WoyoooooooooooSimba SC 1-0 Ndanda FC Ligi Kuu Tanzania Bara VPL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
46' Simba SC 1-0 Ndanda FC
Ligi Kuu Tanzania Bara VPL
WoyoooooooooooSimba SC 1-0 Ndanda FC Ligi Kuu Tanzania Bara VPL
[emoji120][emoji120]Pamoja sana Shunie
Acha uchawi JoveKila la heri Ndanda Fc
aaah hamna mkuuAcha uchawi Jove
Mpira umeisha au88' ligi kuu Tanzania Bara VPL
Simba 1-0 Ndanda
riki cmbaOkwiiii anakwenda kwenye benchi na nafasi yake inachukuliwa na Mavugo
Wabariki waache zaji wakeMungu iba
riki cmba
mkuu wasikupe shida hao ni mfa maji haachi kutapatapa wameona msimu huu wamekosa upendeleo wa TFF ndio maana wameamua kutemea mate binaadamu wenzaoHao wa algeria waliendaje huko? Kama si kupitia ubingwa wa ligi kuu? Muwe mnatumia akili hata kidogo kuliko kuiacha mpaka inaoza bure tu. Ni mpuuzi anayedharau ligi kuu kama vile anaweza kwenda mashindano ya kimataifa bila ligi kuu au kombe la azam. Ukosefu wa akili kichwani
Hili limavugo lishakuwa carcass siku hizi. Linaingizwa mwishoni kabisaOkwiiii anakwenda kwenye benchi na nafasi yake inachukuliwa na Mavugo