Live Updates VPL: Simba Sc Vs Biashara Utd,Mkapa Stadium

Gooooooooooal. 4 - 0 ,yaani 4G...... Duh naanza kuamini maneno ya Manara...Kuna generation Fulani hapa nchini wote watakuwa mashabiki wa Simba.....Sio Kwa soka hili tunalolishuhudia.
 
Mugalu kafanya yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…