SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Nimeipenda hiyo.Mpenja anasema "Mpira unapigwa mpaka unamwagika"
Ngoja tuwafundishe matumizi ya kiwanja hiki( Kwa Mkapa)
"tuwafundishe matumizi ya kiwanja"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda hiyo.Mpenja anasema "Mpira unapigwa mpaka unamwagika"
Ngoja tuwafundishe matumizi ya kiwanja hiki( Kwa Mkapa)
Kutokana na mabadiriko ya kocha aliyofanyaNaona game imepoa kidogo.
Mugalu kafanya yake.Gooooooooooal. 4 - 0 ,yaani 4G...... Duh naanza kuamini maneno ya Manara...Kuna generation Fulani hapa nchini wote watakuwa mashabiki wa Simba.....Sio Kwa soka hili tunalolishuhudia.
Amini kwamba...huu Mpira mkubwa sana asee.Gooooooooooal. 4 - 0 ,yaani 4G...... Duh naanza kuamini maneno ya Manara...Kuna generation Fulani hapa nchini wote watakuwa mashabiki wa Simba.....Sio Kwa soka hili tunalolishuhudia.
Nadhani hata walio uwanjani wanatamani walipe tena...hela ndogo sana kwa Mpira huuRefa ongeza dakika 10
Kweli wacheze tu hata 120 mana sio kwa burudani hiiRefa ongeza dakika 10
Soma Hiyo,Kagereeeeeeeeee Simba 3