Live Updates: VPL, Singida United Vs Simba SC Namfua Stadium

Live Updates: VPL, Singida United Vs Simba SC Namfua Stadium

Mpira uko balance kwa pande zote mbili uwanja wa Namfua Stadium [emoji909]️ Singida United 0-1 Simba SC
 
85' Okwii anakwenda kwenye benchi na anaingia..Kichuya
 
90+4 kuelekea kumalizika mtanange huu wa VPL.. Uwanja wa Namfua Stadium [emoji909]️
 
90+4' Naam mpira umekwishaaaaaaaaa uwanja wa Namfua Stadium [emoji909]️. Simba wakitoka kifua mbele kwa goli moja kwa bila.

Singida United 0-1 Simba SC

Asanteni… Ghazwat
 
90+4' Naam mpira umekwishaaaaaaaaa uwanja wa Namfua Stadium [emoji909]️. Simba wakitoka kifua mbele kwa goli moja kwa bila.

Singida United 0-1 Simba SC

Asanteni… Ghazwat
Wooooooooozeeeer
 
Bwihi[emoji91] [emoji91] zimemalizika mkuu wangu wa damu.. Singida United 1-0 Simba SC.. Uwanja wa Namfua Stadium [emoji909]️
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Mnyama hataki kunywa mafuta ya Alzeti ameniingiza hasara kubwa mno
 
Back
Top Bottom