General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Uzi maalumu wa kushares vibes na matukio yote ya bataz sikukuu hii,
Mi nimetua dodoma hapa nikitokea mwanza,
Nime chill Rainbow pub na ndo kuna uzinduzi wa JackDaniels....
Kesho naingia Mjini na J3 nageuza Kwenda kutambikia huko Kiboshoo...
Upo wapi wewe?
Nini kinaendelea hapo????
Aika Ruwaaa!!