Live Updates Xmas and New Year Showoff's

Live Updates Xmas and New Year Showoff's

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Uzi maalumu wa kushares vibes na matukio yote ya bataz sikukuu hii,

Mi nimetua dodoma hapa nikitokea mwanza,
Nime chill Rainbow pub na ndo kuna uzinduzi wa JackDaniels....

Kesho naingia Mjini na J3 nageuza Kwenda kutambikia huko Kiboshoo...

Upo wapi wewe?
Nini kinaendelea hapo????

Aika Ruwaaa!!
1545500673363.jpeg
1545500687588.jpeg
1545500713945.jpeg
1545500761573.jpeg
 
Afu huyu jamaa aliyetia hela hapa Rainbow nimemuelewaa!!

Imekaa poa sana
 
Mpaka sasa sijajua ntakuwa wapi, na mambo wakizidi ntaingia job nipige mzigo kama kawa.💪💪💪
 
Back
Top Bottom