Live Updates YANGA SC VS MTIBWA SUGER leo tr. 16/04/016

Gooooaaaaal......Msuva
Yanga 1-0 Mtibwa
 
Yanga Mbeleko Zimezidi Kwani Hata Refa Kavaa Viatu Vya Njano Kuonyesha Jinsi Gani Yupo Upande Wenu.
 
Hahahaaaa we jamaaa kweli unamia kuhusu yanga duh pole ndg
 
Yanga Mbeleko Zimezidi Kwani Hata Refa Kavaa Viatu Vya Njano Kuonyesha Jinsi Gani Yupo Upande Wenu.
Naona na wewe umeamua kuandika kwa rangi Nyekundu kuonesha wewe ni mpenzi wa Simba,Mwenye kuihofia Yanga.
 
Siipendi Yanga wala simba.
Ila kama Azam tutashindwa kubeba ndoo basi ni heri Kandambili wabebe,kuliko Mikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…