Ni kawaida siku ya mechi ya simba ukipita mtaa wa msimbazi kuwakuta wanazi wake wamejaa kwa wingi wao wakipeana hamasa. Lakini leo nimepita pale mida ya saa moja waliopo hawafiki 20, halafu wamepooza! Sijui nini kinaendelea!

Bahati nzuri najua saikolojia ya hoyahoya wa kibongo kuanzia kwenye siasa mpaka soka. Hivyo huwa namakinika kuangalia nimevaaje kabla hata sijashiriki maongezi