LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

al ahly vipi wanashindwa kuwafunga hawa malapa
 
dk 44 kipindi cha 2;


Yanga 1-0 Al Ahly
 
Wanachofanya waarabu wanawasoma yanga mpira wao kisha wakienda kwao watafute mbinu zakuwabana uwanjani ili wawazibue vibaya...wameshinda moja but tutegemee historia ya 82 kujirudia,Dar 1-1 Cairo 5-0.

Mtakufa na pressure.
 
Bahanuzi anaingia ngasa anatoka dk ya 88.
 
Dakika ya 87 anaingia Said Bahanuzi kuchukua nafasi ya Mrisho Ngasa
 
dk 45 kipindi cha 2;


Yanga 1-0 Al Ahly
 
dk 46 kipindi cha 2;


Yanga 1-0 Al Ahly
 
Munishi anajidai kaumia..ila ni ujanja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…