Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Nadhani kosa liko kwa wanausalama wetu. Kama hakuna arrests zilizofanyika, jeshi la polisi linapaswa kulipa fidia.
Polisi wakiamua kufanya kazi yao watawakamata wote hawa wahuni wa Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani kosa liko kwa wanausalama wetu. Kama hakuna arrests zilizofanyika, jeshi la polisi linapaswa kulipa fidia.
Kuna mwaka walikuja hapa Highlanders wa Zimbabwe walitoka 3-3 na Yanga wakashangilia kuwa wamepeta, second leg pale Harare Yanga waliibuka na Total Football na kuwacharaza 2-0 hadi mapumziko, wakafanya madhambi refa kaonesha penati wakaweka mpira kwapani na gemu likaishia hapo. Tunakwenda Cairo kutafuta ushindi, hatutalinda hako kagoli, tutacheza kufa na kupona kwa matarajio kuwa tukifunga bao hata moja ugenini lina mashiko makubwa. Kaeni na fyekeo zenu, sisi tunacheza mpira.
![]()
Polisi wakiamua kufanya kazi yao watawakamata wote hawa wahuni wa Simba
Itafurahisha sana haya majihuni ya simba yakikamatwa
Wala sijakosea niliandika fya nikitaka Ndetichia atake actions kunijulisha matokeo maana yeye ndo mdau wa Azam kwa humu JF.ndetichia fyi: fya = for your actions.
Serikali kuzuia uwanja wake haitowezekana, wakiuzuia waufanyie nini? Wachezee gwaride?mkuu, mm walinikera sana yani...wao hasira kidogo wanahamishia katika viti, kweli hali ikiendelea hv serikari inaweza kuzuia uwanja wake.
Kumbe mwenzangu unakaa ukiota mambo ya kale? Mpira siyo Physics wala Math, tukutane jumapili ijayo.Hayo ni maneno tu ya nje wa uwanja,tumia AKIL bab mmeshindwa kushusha mvua za magoli hapa leo mkashinde misr,misr ha ha ha bora ingekua nchi nyngne lkn sio misr,nyie mmeifunga comoro goli 7 af mnachukua maisha mseleleko tu,ndan ya misr hamtok Abadan ,hamuwajui waaarab nyie,waulizen simba.afteral yanga hamna historiyah bab ya mech Kama iz,km mmeshindwa hapa kutia hata goli2,ujue mpo nje sema ofcoz lazma kujipa hope, bt wenyekujua mpira wameshaona halis,
Hayo ni maneno tu ya nje wa uwanja,tumia AKIL bab mmeshindwa kushusha mvua za magoli hapa leo mkashinde misr,misr ha ha ha bora ingekua nchi nyngne lkn sio misr,nyie mmeifunga comoro goli 7 af mnachukua maisha mseleleko tu,ndan ya misr hamtok Abadan ,hamuwajui waaarab nyie,waulizen simba.afteral yanga hamna historiyah bab ya mech Kama iz,km mmeshindwa hapa kutia hata goli2,ujue mpo nje sema ofcoz lazma kujipa hope, bt wenyekujua mpira wameshaona halis,