Nani kakuahidi??Eti leo Yanga akimpiga Azam njoo umchukue dadangu bure, sasa ngoja game iishe hivi hivi ili nikabebe toto la kimanga leo.
Wamejitutumua....!!! Sare si mbayaPoor Tottenham
Hivyo yanga wamefunga goli zoteJuma Abdul.....kawafungia Azam goli Na pia kasawazisha. Na Donald Ngoma
John Boco kasawazisha.Hivyo yanga wamefunga goli zote
Mkuu hujiamini sana.Sasa tunawasaka
2 - 2update wapi?
Bora maana2 - 2 hivi sasa Sanchez kachomoa
Moira umeishaBora maana
Kabisa wanaegemea upande mmojaWatangazaji wa azam nao wamezidi mapenzi binafsi
Naona unafuraha sana...ni mpira bwana shemeji siyo moira...Moira umeisha