Live updates: Yanga vs Az Leo tar5.3.2016

Live updates: Yanga vs Az Leo tar5.3.2016

Eti leo Yanga akimpiga Azam njoo umchukue dadangu bure, sasa ngoja game iishe hivi hivi ili nikabebe toto la kimanga leo.
 
London Hali Ikoje Huko Jmn, Maana Huku Kwetu Umeme Ni Shida Tupu!!!
 
watanzania hiki tunachokileta uwanja wa taifa ni ushenzi na huu ushenzi unaendekezwa na hii mitimu miwili ya simba na yanga,nashauri wapigwe tu marufuku kutumia uwanja wa taifa watafute viwanja vyao toka miaka hiyo hadi leo hawana uwanja timu hazina mipango hazina mbele wala nyuma
 
Leo derby 3 Soweto derby. London derby. Dar es salaam deby
 
Back
Top Bottom