libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Hawa wetu leo wanalamba hivi 3Azam wameshikwa kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wetu leo wanalamba hivi 3Azam wameshikwa kwa kweli
Hahahaah mnaongoza goli 2 kwa 1Nipe updates
Na wameshapigwa goli 2 - 1 arsenalNani kapigwa nyekundu?
Leo hawajabebwa...!!!Yanga wakubebwaa...
Ha ha ha, ahadi za chumbani!Eti leo Yanga akimpiga Azam njoo umchukue dadangu bure, sasa ngoja game iishe hivi hivi ili nikabebe toto la kimanga leo.
Juma Abdul.....kawafungia Azam goli Na pia kasawazisha. Na Donald NgomaWafungaji wapande zote taifa ni kinanani
Duh Wenger nayeNa wameshapigwa goli 2 - 1 arsenal
Kwa nini??Huyu refa siyo mzima
2 - 2 hivi sasa Sanchez kachomoaDuh Wenger naye
Bado wanashambuliana tuYanga akiongoza hakuna update????