Talented Land
Senior Member
- Feb 4, 2016
- 157
- 135
wote hamuon swali langu au?kwani dakika ya ngapi?
Presure imepanda wanaogopa kusemawrote hamuon swali langu au?
Ni member mmoja humu JFNani kakuahidi??
Aseno nae kadroo na spurs 2-2So Wakimataifa Wamepata Droo Na Wamchangani!!!?? Na Arsenal Na Spurs Gemu Imeisha Vp!!? Maana Tanesco Wametuzingua Kinoma, Hadi Sasa Hakuna Umeme!!!
EEEEEH hi signature !!! Black is white!!!Nashukuru nilijua leo
Aksante Mkuu!! Ubingwa Bado Mgumu Kwa Gunners!!! Ila Tutapambana Hadi Tone La Mwisho!!Aseno nae kadroo na spurs 2-2
Hamisi Tambwe amezeeka ghafla baada ya kujiunga na YangaYanga ndo timu yenye wachezaji wazee zaidi kwenye mechi ya leo