Live Updates: Yanga Vs Namungo FC (VPL)

Hivi hawa utopolo/ vyura wanafanya nini hapa uwanjani Mana sielewi wanakosa migoli hovyo kabisa.
 
Lunyasi tunahitaji Alama 3 tu kujitangazia Ubingwa hiyo Jumamosi huko Mbeya...
Utopolo hata washinde zilizobaki hawatazigonga alama 81 za Lunyasi hiyo J'Mosi...na Prisons lazima akae tu. Tunarudi Dar makwapa Juu.
 
pale kuna tatizo kubwa sana,nashangaa mzigo wa lawama wanapewa Moringa na Yikpe tu.

wajitahidi wapate hata droo
Daah yani wanasikitisha sana, wajitahidi tu wasifungwe tumechoka sasa kuona mtani anaibishwa hivi kila siku.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…