Live Updates za Chengdu Auto Show 2024 (30 August - 8 September)

Live Updates za Chengdu Auto Show 2024 (30 August - 8 September)

Hongqi HS3 PHEV
Hongqi wametoa SUV yao inayoenda kwa jina HS3 ambayo ni Plugin Hybrid, na ktauzwa wastani wa $22,000/= tu!
Shanhai-L6_1724618767541-1-scaled.jpeg

Chuma ina muonekano wa kibabe, mbele na nyuma, grille za kibabe, LED lights na 22" rims.
4.jpg


Kwa ndani ina screen ya 12.6 inch kama central control screen na dereva ana 12.3 inch pale nyuma ya steering.

image-7.png

Kwa issue ya software, kuna Qisi 1.0 intelligent network system ambayo itasupport OTA updates.
1-2.jpg

Chuma pia ina 40W na 15W wireless charging, 6-way adjustment kwa seat ya dereva, na 4 kwa abiria wa mbele.
image-8.png


Hii gari ni hybrid, ina engine ya 1.5T na electric motor.

Engine pekee inatoa 166 hp na motor inatoa 180 hp.
1-2.jpg

Pia kuna battery la 18.4 kWh ambalo pekee linatoa range ya 115 km, ukijaza full charge na full tank utatenbea 1,100 km.
image-9.png

Ikitokea umeenda camping, utaweza kufa ya discharge ya 3.3 kW pia.

2-3.jpg

Tusubirie used.
 
Back
Top Bottom