View attachment 3153125Nissan N7 EV sedan.
Nissan wamezindua Sedan yao N7 ambayo ni full Ev.
View attachment 3153124
Chuma ni kali, ina sifa nyingi kuanzia AI, Pressure zero Seats, 32GB RAM na 256 GB Internal Memory cockpit nk.
View attachment 3153130
Taarifa zaidi kuhusu battery na motor hazijaja bado.