Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Ni China na Auto show tena, hii inaitwa Guangzhou International Motor Show inayofanyika Guangzhou China kila mwaka, mwezi wa 11 au wa 12.
Makampuni mbalimbali ya magari kutoka China na nje ya China yataonyesha magari yao mapya, updates na technology katika sekta ya magari.
Huu mwaka kama zilivyoshow zingine, muendelezo wa EV utakua unashika moto.
Karibuni.