LIVE: US slams WHO as 'puppet of China'

LIVE: US slams WHO as 'puppet of China'

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
7,134
Reaction score
4,556
https://www.bbc.com/news/live/world-52717664

1589872434817.png
 
China anamcheki tu kwa jicho la kengeza. Chanjo anayofanyia utafiti atawachanja Wamarekani na nchi fulani huku East Africa.
 
Kama shutuma za Marekani dhidi ya China ni za kweli, Kuna siku dunia itaona ni Jambo la kawaida kutafiti, kujaribu na kutumia 'biological weapons' na hapo ndipo Mchina atakapolia kilio kikuu
 
Trump ni debe tupu; haliachi kutika. Tangu aingie madarakani haipiti siku hajalalamika; yaani amelaumu kila kitu isipokuwa yeye na watoto wake tu. Ameshawalalamikia hata wateule wake mwenyewe. Kila siku kwa Trump ni siku ya kulaumu tu.
 
trump ni debe tupu; haliachi kutika. Tangu aingie madarakani haipiti siku hajalamika; yaani amelaumi kila kitu ispokuwa yeye na watoto wake tu. Ameshawalalamikia hata wateule wake mwenyewe. Kila siku kwa Trump ni siku ya kulaumu tu.
Mzee sijui kama zimetimia yule aseee maana daaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....

Sent using My COVID-19
 
Trump ni debe tupu; haliachi kutika. Tangu aingie madarakani haipiti siku hajalalamika; yaani amelaumu kila kitu isipokuwa yeye na watoto wake tu. Ameshawalalamikia hata wateule wake mwenyewe. Kila siku kwa Trump ni siku ya kulaumu tu.
Rais wa taifa kubwa tajiri anapolalamika sijui kwa wengine inakuaje.
 
Back
Top Bottom