Live: Yanga na Simba

Live: Yanga na Simba

Vipi kwa haraka haraka mechi ipoje?? zungumzia sehemu zote tatu ulinzi , kiungo na mstari wa ushambuliaji kwa timu zote!!
 
tupatie hata mfumo(fomesheni) basi tuweze kutabiri,... Lakini naona jangwani watacheka.... Mechi ikimalizika ntakujuza ni kwa nn Yanga wanashinda leo...
 
udates wakuu mbona kimya au kuna mtu kapigwa tayari????
 
Mmekosa kazi za kufanya kwa kufatilia soka la bongo.
Ulitaka tukufatilie wewe....kama hulipendi soka la bongo ni wewe siyo wote kuna watu tunaopenda soka la Bongo mpaka BP zinatunyemelea hasa siku kama hii.......
 
udates wakuu mbona kimya au kuna mtu kapigwa tayari????

mkuu akipigwa mtu ndio updates zitamwagika kama mvua maana saa hii simba wanaogopa na yanga wanaogopa, wote wamebana masaburi wanaombea wasifungwe . natamani mmoja apigwe bao ili wale wa upande mwingine waanze kumwaga updates hapa jamvini
 
Kiiza anatoka anaingia Idrisa Rashid...
 
Dakika ya 64...simba wanashambulia lakini umaliziaji hovyo...
 
Back
Top Bottom