Hivi nyie Makolo ni nani aliyewaroga?Caf confederation
Sio naweza nisichukue....Uwezo wenyewe wa kuchukua huna [emoji1] Kama sisi tuuNaweza nisichukue makombe lakini mafanikio yangu ni makubwa sana kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuwabeba nyie lakini ndo hivyo hambebeki.
Aliyekwambia hawajinasibu ni nani ? unaishi nao huko Zambia ??Mafanikio ni kushinda ubingwa siku zote na sio kufika sehemu yeyote ile.
Kama haujachukua ubingwa basi haujafanikiwa kivyovyote vile.
Zesco utd wamefika semi final 2016 lakini hauwezi kuwasikia wakijinasibu kua wao ni level za Al ahly Wala Mazembe.
Mkuu mishe zangu huwaga ni huko Zambia(Kitwe).Aliyekwambia hawajinasibu ni nani ? unaishi nao huko Zambia ??
eti kama sisi [emoji38] .. ila sikulaumu ni lazma mjilinganishe na mnyama maana ndo role model wako kimataifaSio naweza nisichukue....Uwezo wenyewe wa kuchukua huna [emoji1] Kama sisi tuu
Role model anatolewa na watotoeti kama sisi [emoji38] .. ila sikulaumu ni lazma mjilinganishe na mnyama maana ndo role model wako kimataifa
Hata Tp mazembe alitolewa na watotoRole model anatolewa na watoto
Ni kweli alitolewa na watoto lakini ana 5 CaFCL wewe una ngapi?Hata Tp mazembe alitolewa na watoto
Wewe unazo ngapi ?Ni kweli alitolewa na watoto lakini ana 5 CaFCL wewe una ngapi?
Akijibu hili swali Kama ulivyouliza nishtueNi kweli alitolewa na watoto lakini ana 5 CaFCL wewe una ngapi?
Mimi sina mkuu ndo maana sijimwambafai kama wewe.Wewe unazo ngapi ?
Yeye Hana alafu anajimwambafaiMimi sina mkuu ndo maana sijimwambafai kama wewe.
Kwamba Mzamiru Ndo Atamuweka Benchi [emoji23][emoji23][emoji23]Labda simba queens
Tulia basi tuipambanje nchi, soon mtakua na la kujivunia kwa muwakilishi wenu.Mimi sina mkuu ndo maana sijimwambafai kama wewe.
Mchangieni moo hela za kiwanjaTulia basi tuipambanje nchi, soon mtakua na la kujivunia kwa muwakilishi wenu.
Na uliteseka si mchezo.. mkaishia kukusanya points 2 na Raja Casablanca akawafunga 6-1Aya endelea kuteseka huko Shirikisho maana mm mwenyewe niliteseka sana 2017/18.
Ofisi zao zenyewe pale kariakoo kama vyoo vya kulipia ndo waweze uwanja?Mchangieni moo hela za kiwanja
Mo mjanja kashawaona ni mambumbumbuOfisi zao zenyewe pale kariakoo kama vyoo vya kulipia ndo waweze uwanja?
Mnapenda lawama nyie ita badili nini?Hawa Mods sijawaelewa ,jana mechi ya Simba wameweka live kwa alama nyekundu mpaka sahizi mkeka unaonekana live ,Ila mechi ya yanga hawajaweka live nyekundu
Acha mihemko mzee.Na uliteseka mno.. mkaishia kukusanya points 2 na Raja Casablanca akawafunga 6-1