LIVE: YANGA SC Vs IHEFU FC

LIVE: YANGA SC Vs IHEFU FC

Una unazi wa kishamba sana
Kuna mechi inayoendelea saizi kati ya KMC na Majimaji

KMC wanacheza vizuri kuliko yanga, sometimes bora tuwe tunaweka updates kwenye mechi kama hizo kuliko kumuangalia mayele akijiangusha peke yake kwenye box
 
by the way simba hans kikosi cha kuelewa mpaka sasa
Vimechi vidogo vidogo halafu unaweka kikosi cha kwanza?

Mngefanya kujiamini kama simba alivyoweka kikosi chake hiyo jana, tuone kama mngechomoka
 
Nyamizi mbona umekunja sura Kama unapuliza moto?
Kwamba hutaki au?😀😀
Scars mzee naona k vant haipandi kooni kabisa shida nini?
 
Back
Top Bottom