Liverpool 0-0 Manchester United, Desemba 17, 2023

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Liverpool ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Anfield imelazimishwa matokeo ya 0-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Premier League ambapo Liverpool ilipewa nafasi kubwa ya kushinda kutokana na kuonesha ubora katika michezo ya hivi karibuni tofauti na wapinzani wao.

Matokeo hayo yanaifanya Liverpool “Jogoo wa Anfield” ibaki nafasi ya pili ikiwa na pointi 38 nyuma ya Arsenal yenye 39 katika msimamo wa ligi, Man. United “Mashetani Wekundu” imebaki nafasi ya 7 ikiwa na alama 28, timu zote zikiwa zimecheza mechi 17.
 
Dah! Aisee Yan Mkeka wangu umechanika aisee!
Million 80 nimeikosa kwa game hii kutoka share wakat niliweka 2.5+ goals...

Yan Man U nyie[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom