Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndiyo habari kwa sasa wakuu
Milango ilianza kufunguliwa na Origi ( Dk 7 ) tu , then Wijnaldun (54 , 56 ) halafu origi tena ( dk 79 )
Ngoma bado mbichi mno !
Kazi imekwisha , Liverpool inaingia fainali kibabe .