Liverpool 3 - 3 Barcelona on Aggregate

Liverpool 3 - 3 Barcelona on Aggregate

Barua kwa boss

Mkuu mimi mtumishi wako napenda kuku taharifu kuwa kesho sitoweza kufika kazini kwa sababu leo nitalala baa nikinywa maana kuna timu inawachezaji bora kalibia wote duniani ila sisi kama liverpool tumeifunga goli 4-0. Tafadhali ninaomba ushilikiano wako. Wako Mtiifu
Komando Kipensi
Shabiki kindaki wa majogoo.
 
Yule msema hovyo wa Mambumbumbu hii inamuhusu
IMG-20190508-WA0002.jpeg
 
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
 
Back
Top Bottom