Liverpool 7, Manchester 0, je Liverpool ni bora kuliko Manchester kipindi hiki

Liverpool 7, Manchester 0, je Liverpool ni bora kuliko Manchester kipindi hiki

kotapini

Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
92
Reaction score
158
Leo mke wa balozi wa nyumba kumi wa mtaa wa CHIMBA UNYE kapata umbea wa mkazi mmoja mgeni aliyekuja kuwatembelea nyumbani kwao.

Pamoja na udhaifu wa mgeni hasa katika kuficha siri zake, mwenyeji wake (balozi) amemuadithia mke wake mambo yote aliyomfanyia na kuambiwa kwa siku SABA na mgeni, bahati mbaya mke wa balozi amepata taarifa usiku yaani koo lilikuwa linamuwasha kukuche akamwage umbea mtaani huku mdomo wake mchafu unaonuka chimpumu ukitatalika kama moto uliowekwa chumvi ya mawe, haoni udhaifu wa mgeni kumwaga siri zake hadharani, yeye anajisifu kupata siri za mgeni na kujisifu kuwa yeye ni mtaalamu wa kufumua mishono na kushona upya nyuzi saba!

Ndugu yanguuuu, ukimpiga mtama mlevi akaangukia kichogo, utajiona Bluce Lee?

Hata wajinga huwa na viongozi wao
Je? Liverpool iliyoshinda 7 ni bora kipindi hiki kiliko Manchester?

Sisi simba tumeliheshimisha Taifa,
Tembelea kucha kama umepigwa tanganyika jeki wana lunyasi huku mstari wa suruali imeingia kipwintoni!!! SIMBA NGUVU MOJA
 
Back
Top Bottom