enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
mashabiki wa man city mmeanza nongwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza tena kuropoka!!haaa haaaa haaaa!!arsenal tunabeba ubingwa
Nakubaliana na wewe katika point ya kwamba Liver ni bingwa lakini katika ukweli atakua bingwa asie stahiki
Ubingwa wa liverpool tena atawaacha wapinzani mbali sana
Liverpool hata kama atakuwa mbele kwa pointi 30 sisi Chelsea tutamkuta na kumpita hapohapo
Arsenal tulikuwa wapi kumsajili Jamie Vardy.