Liverpool bingwa Ligi Kuu England msimu huu 2019/20

Kwa kweli mtoa mada anayo hoja

Angalieni idara ya ushambuliaji halafu idara ya kiungo kisha malizieni kule nyuma

Winga Za kiingereza za hawa Leicester ziko moto sana : kuna Barnes kuna Albrighton kuna Ayoze perez halafu kuna dogo Demarai Gray

Kiungo Tielemans yupo moto balaa, anatoa assists anakaba anafunga anachezesha timu vizuri mno


Naishia hapa jamani nimechoka kuandika labda nitarejea
 
Naunga mkono hoja,

Na hili ndio litakuwa chama langu la mchepuko mpaka Muhindi atokomee kusikojulikana.....
 
Comment zinanichanganya heading inaongelea liver lkn baadhi ya comment zinazungumzia Leicester
 
Ubingwa ni wa Chelsea ama leceister City
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…