Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama kawaida Liverpool only shows up wakicheza na Man Utd..Poleni kwa kutolewa anzeni kujiandaa kwa kuqualify next season.
What are you trying to say?! You mean we don't show up when we play others like Chelsea or??? Asante kwa kutupa pole!!!
 
Kama kawaida Liverpool only shows up wakicheza na Man Utd..Poleni kwa kutolewa anzeni kujiandaa kwa kuqualify next season.

Khe khe khe kheeeee usiwe kama shabiki wa mafioso team naona ana wanga tu maana yuko peke yake. Wenzie wameenda kuuza unga. Kubali tu mlizidiwa maarifa.
 
Guys.......... hebu tuwe realistic kidogo.

Huu kwetu ni mwaka wa shetani na hatutegemei lolote zaidi ya kujenga timu, whatever happen to us is just a bonus

I am just saddened na team which was on trebble just a month ago to be on one cup ati na wao wanatucheka

wacha.... you may end up with nothing this year as well... na huwa tunasema "ALMOST DOESNT COUNT

THINK ABOUT IT

WE HAVE SHOWN KWAMBA WE ARE ON THE RIGHT TRACK NA WE RECRUITED BETTER MEMBERS THAN BEFORE
 
MTM na team poleni sana kwa game ya jana..huruma hiliyokuwa nao nilitamani mfunge;-)) mwaka huu naona sio wenu kabisa, you will definitely walk alone🙂)))
 
mtm na team poleni sana kwa game ya jana..huruma hiliyokuwa nao nilitamani mfunge;-)) mwaka huu naona sio wenu kabisa, you will definitely walk alone🙂)))
i will definitely walk alone with you sweetie.... At the park near park lane.....
 
Thats the difference mate, unategemea tutakuwa out of top four ... ... ... Maana mwakani nyie hata hiyo Europa bado hamtaingia au? Chacha mpunga mtapata wapi wa kutosha wakati CL na Europa mko hati hati. Mkuu hapa ni mawe tu mta-walk alone chichi so far mwaka huu hatujapoteza mechi ya EPL bado tuna matumaini chijui nyie mna matumaini gani? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
MTM na team poleni sana kwa game ya jana..huruma hiliyokuwa nao nilitamani mfunge;-)) mwaka huu naona sio wenu kabisa, you will definitely walk alone🙂)))

Wacha udaku na wewe shangilia waliowatungua wamepigwa magoli hakuna unafiki hapa!

BTW bado tinachubiri mng'oane mapengo na Chelsick na MTM amwondoe Tor the res .... ...
 
Kama kawaida Liverpool only shows up wakicheza na Man Utd..Poleni kwa kutolewa anzeni kujiandaa kwa kuqualify next season.

What are you trying to say?! You mean we don't show up when we play others like Chelsea or??? Asante kwa kutupa pole!!!

A dinosaur club, hawana issue zaidi ya kukamia wanapocheza na big teams.
 
Hahahaha, hapo kwenye nyekundu does that include the new version of Duncan Ferguson you bought for 35m?
 
i will definitely walk alone with you sweetie.... At the park near park lane.....

Only if you support Manure kumaliza msimu huu baada ya kupoteza matumaini na Liverpul..sawa dia?!!..Then we can walk at the park🙂

Wacha udaku na wewe shangilia waliowatungua wamepigwa magoli hakuna unafiki hapa!

BTW bado tinachubiri mng'oane mapengo na Chelsick na MTM amwondoe Tor the res .... ...

Wacha1 ile timu nyingine nilikuwa sijaimind, nilitamani kweli Liver wapite ila ndiyo hivyo tena..Poor Gerrard nilimkosa kwa mechi!!
Chelski nimewapania sana, lazima mapengo yang'olewe..Huyo To rest mie hanivutii siku hizi..

Vp umerikava maumivu ya vipigo?!...aisee mlifululiza kweli na nyie!!!
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
wach swahiba... tuipongeze basi wanapofanya vizuri aisee...
 
A dinosaur club, hawana issue zaidi ya kukamia wanapocheza na big teams.
Mkuu, hakuna anayekataa kuwa tumekuwa na msimu mbaya. Lakini unapoongelea 'big teams' inashangaza kweli!! Who are BIG TEAMS unapoongelea EPL???
 
hii thready ya iku mingi. Unajua kama unajua unajua huna haja ya kufanya matangazo kila mtu anajua kwmba unajua. YOU WILL NEVER WALK ALONE, big up LIVERPOOL! tuko pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…