mkuu... Track history ya wapenzi wa chesi wa bongo.... Wengi ni wajuzi mazeemkuu, hakuna anayekataa kuwa tumekuwa na msimu mbaya. Lakini unapoongelea 'big teams' inashangaza kweli!! Who are big teams unapoongelea epl???
mkuu... Track history ya wapenzi wa chesi wa bongo.... Wengi ni wajuzi mazee
aniwei... Chesi wameshinda leo, congrats to tourists!!
Mkuu, hakuna anayekataa kuwa tumekuwa na msimu mbaya. Lakini unapoongelea 'big teams' inashangaza kweli!! Who are BIG TEAMS unapoongelea EPL???
You are right mkuu, team kama Chelsea sio among big teams kwa kuangalia historia in fact Chelsea haiifikii hata Newcastle ya Alan Shearer tatizo watu wameanza kuwa na mapenzi na hivi timu za uingereza miaka ya karibuni na ndio maana haishangazi watu walidiriki kuhama liverpool na kuhamia man city na chelsea!
Hahha this has made my evening kwa kweli...duh!!You are right mkuu, team kama Chelsea sio among big teams kwa kuangalia historia in fact Chelsea haiifikii hata Newcastle ya Alan Shearer tatizo watu wameanza kuwa na mapenzi na hivi timu za uingereza miaka ya karibuni na ndio maana haishangazi watu walidiriki kuhama liverpool na kuhamia man city na chelsea!
mkuu... Track history ya wapenzi wa chesi wa bongo.... Wengi ni wajuzi mazee
aniwei... Chesi wameshinda leo, congrats to tourists!!
Hahha this has made my evening kwa kweli...duh!!
Nilivyosoma hiyo comments ya Newcastle ya Shearer kitu cha kwanza kilichoniijia kichwani ni ile rant ya Kevin Keegan. I bet alikuwa anataka kuisema Blackburn iliyochukua ubingwa Shearer na Sutton wakiwa stars.Tumemsamehe kwani hajui asemalo huyu plastic, anakurupuka tu bila facts.
Hahha this has made my evening kwa kweli...duh!!
Nilivyosoma hiyo comments ya Newcastle ya Shearer kitu cha kwanza kilichoniijia kichwani ni ile rant ya Kevin Keegan. I bet alikuwa anataka kuisema Blackburn iliyochukua ubingwa Shearer na Sutton wakiwa stars.
Mkuu I meant "The Keegan Years – The Entertainers" Sorry.............
Probably coca cola cup na inter toto hivi hayo makombe yaliishia wapi?Hahahaha, huyu jamaa bana!! Sasa walishinda kikombe gani? Walipata mafanikio gani? Nikumbukavyo mimi hii timu iliishia kuwa ya pili kwenye ligi kwa misimu miwili mfululizo, sasa kama hayo ndio mafanikio then I'll leave it to you.
Hahahaha, huyu jamaa bana!! Sasa walishinda kikombe gani? Walipata mafanikio gani? Nikumbukavyo mimi hii timu iliishia kuwa ya pili kwenye ligi kwa misimu miwili mfululizo, sasa kama hayo ndio mafanikio then I'll leave it to you.
Naona mmebebwa hapo ni hiyo ya maguu 12 khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
wach swahiba... tuipongeze basi wanapofanya vizuri aisee...
just follow the bee
Newcastle United Football Club are an English Premier League association football club based in Newcastle upon Tyne, Tyne and Wear. Founded in 1892 by the merger of Newcastle East End and Newcastle West End, they have won four First Division titles-in 1905, 1907, 1909 and 1927-and six FA Cups-in 1910, 1924, 1932, 1951, 1952 and 1955
Since you don't want to remember, you won't remember!!! Sijawahi kuona hoja dhaifu kiasi hiki!! Kwamba unapoongelea mafanikio ya team flani utatizwe na mabadiliko ya majina ya league ya juu ya mataifa husika??? Ikiwa hivyo AC MILAN, REAL MADRID,LIVERPOOL (pole kwa sababu nimeitaja tena LiverPool!!!) BAYEN MUNICH nk hazitakuwa timu kubwa tena Ulaya. Ukiacha unafiki LiverPool ni timu kubwa Uingereza, ndo maana hadi leo hii timu nyingine zote zinafukuzia mafanikio ya Liver.Kama unaongelea EPL kama ulivyosema mwenyewe hapo juu, then Liverpool is nothing maana hawajawahi kuchukua kikombe ch EPL....plastic! I don't even remember the last time you had a good EPL season.
Malipo ni hapahapa Duniani mkuu!!! Kwani umesahau goli la 'beachball kwenye uwanja huuhuu la msimu uliopita??? Imewauma eeh!!![/QUOTE]''The ref got it wrong! Carragher admits Liverpool didn't deserve penalty'' ... .... .... ... ... labda wakichema wachezaji wenu mtakubali lakini chichi tukichema ni walongo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Malipo ni hapahapa Duniani mkuu!!! Kwani umesahau goli la 'beachball kwenye uwanja huuhuu la msimu uliopita??? Imewauma eeh!!![/QUOTE]''The ref got it wrong! Carragher admits Liverpool didn't deserve penalty'' ... .... .... ... ... labda wakichema wachezaji wenu mtakubali lakini chichi tukichema ni walongo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu ni kweli,watu wasahaulifu kweli. mkuki kwa nguruwe[/QUOTE]Malipo ni hapahapa Duniani mkuu!!! Kwani umesahau goli la 'beachball kwenye uwanja huuhuu la msimu uliopita??? Imewauma eeh!!!