Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mkuu, hakuna anayekataa kuwa tumekuwa na msimu mbaya. Lakini unapoongelea 'big teams' inashangaza kweli!! Who are big teams unapoongelea epl???
mkuu... Track history ya wapenzi wa chesi wa bongo.... Wengi ni wajuzi mazee

aniwei... Chesi wameshinda leo, congrats to tourists!!
 
You are right mkuu, team kama Chelsea sio among big teams kwa kuangalia historia in fact Chelsea haiifikii hata Newcastle ya Alan Shearer tatizo watu wameanza kuwa na mapenzi na hivi timu za uingereza miaka ya karibuni na ndio maana haishangazi watu walidiriki kuhama liverpool na kuhamia man city na chelsea!
 
Mkuu, hakuna anayekataa kuwa tumekuwa na msimu mbaya. Lakini unapoongelea 'big teams' inashangaza kweli!! Who are BIG TEAMS unapoongelea EPL???

Kama unaongelea EPL kama ulivyosema mwenyewe hapo juu, then Liverpool is nothing maana hawajawahi kuchukua kikombe ch EPL....plastic! I don't even remember the last time you had a good EPL season.
 
You are right mkuu, team kama Chelsea sio among big teams kwa kuangalia historia in fact Chelsea haiifikii hata Newcastle ya Alan Shearer tatizo watu wameanza kuwa na mapenzi na hivi timu za uingereza miaka ya karibuni na ndio maana haishangazi watu walidiriki kuhama liverpool na kuhamia man city na chelsea!

Another scumfield plastic! Wewe kweli kilaza kweli kwenye soka, hao Newcastle wamewahi kuchukua kikombe gani hata kabla ya Abramovich kuja Chelsea? How can you compare the two?
Wewe jamaa ni kiazi sana, unaposema "tatizo watu wameanza kuwa na mapenzi na hivi timu za uingereza miaka ya karibuni na ndio maana haishangazi watu walidiriki kuhama liverpool na kuhamia man city na chelsea" unamaanisha Liverpool siyo ya Uingereza na washabiki wake wanaihama baada ya kuanza kupenda timu za Uingereza karibuni? You're contradicting yourself, jaribu kuweka vizuri na sio kulialia kwamba washabiki wamehama.
 
You are right mkuu, team kama Chelsea sio among big teams kwa kuangalia historia in fact Chelsea haiifikii hata Newcastle ya Alan Shearer tatizo watu wameanza kuwa na mapenzi na hivi timu za uingereza miaka ya karibuni na ndio maana haishangazi watu walidiriki kuhama liverpool na kuhamia man city na chelsea!
Hahha this has made my evening kwa kweli...duh!!
 
mkuu... Track history ya wapenzi wa chesi wa bongo.... Wengi ni wajuzi mazee

aniwei... Chesi wameshinda leo, congrats to tourists!!

Kila mtu ana sababu kwanini anashabikia timu fulani, japo wengi wa washabiki wa ligi ya England huko nyumbani wanachagua timu kutokana na mafanikio ya timu yenyewe. Hii ni kwa wote, kuanzia washabiki wa Liverpool, Arsenal, Manchester na Chelsea, wengi wao ni glory hunters. Wewe unaweza kutuambia kwanini ulichagua Liverpool na sio Everton au Leeds? Unafikiri kwanini washabiki wengi miaka ya nyuma walikuwa Liverpool (80s), Manchester (90s) na Arsenal (90s/00s)? Jibu ni glory hunters.
 
Tumemsamehe kwani hajui asemalo huyu plastic, anakurupuka tu bila facts.
Nilivyosoma hiyo comments ya Newcastle ya Shearer kitu cha kwanza kilichoniijia kichwani ni ile rant ya Kevin Keegan. I bet alikuwa anataka kuisema Blackburn iliyochukua ubingwa Shearer na Sutton wakiwa stars.
 
Inawezekana kama unavyosema, maana sijawahi kusikia Newcastle wameshinda hata Carling cup....na Shear ni kweli kashinda EPL mara moja tu na Blackburn.
Hahahaha kuna similarities kati ya Liverpool na Newcastle, timu zote mbili zilipoteza nafasi nzuri ya ubingwa kwa Manchester baada ya makocha wao kumwaga rant kama hawana akili nzuri.... Kevin Keegan (Newcastle) na ile rant yake ya "I'll love it if we beat them" na Rafa Benitez na ile rant yake ya "FACTS".....hahahaha walichokosea tu ni kwamba wote walisahau kwamba Ferguson ndio master wa mind games.
 
Mkuu I meant "The Keegan Years – The Entertainers" Sorry.............

Hahahaha, huyu jamaa bana!! Sasa walishinda kikombe gani? Walipata mafanikio gani? Nikumbukavyo mimi hii timu iliishia kuwa ya pili kwenye ligi kwa misimu miwili mfululizo, sasa kama hayo ndio mafanikio then I'll leave it to you.
 
Probably coca cola cup na inter toto hivi hayo makombe yaliishia wapi?
 
Hahahaha, huyu jamaa bana!! Sasa walishinda kikombe gani? Walipata mafanikio gani? Nikumbukavyo mimi hii timu iliishia kuwa ya pili kwenye ligi kwa misimu miwili mfululizo, sasa kama hayo ndio mafanikio then I'll leave it to you.

Newcastle United Football Club are an English Premier League association football club based in Newcastle upon Tyne, Tyne and Wear. Founded in 1892 by the merger of Newcastle East End and Newcastle West End, they have won four First Division titles-in 1905, 1907, 1909 and 1927-and six FA Cups-in 1910, 1924, 1932, 1951, 1952 and 1955
 
Naona mmebebwa hapo ni hiyo ya maguu 12 khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

wach swahiba... tuipongeze basi wanapofanya vizuri aisee...

just follow the bee

article-0-0B4265CA00000578-695_634x328.jpg

The wrong call: Spearing was tackled outside of the penalty area

article-0-0B42B26E00000578-876_634x393.jpg

Going down: Spearing appeals for a penalty after being hauled down

by Mensah on the edge of the Sunderland box

''The ref got it wrong! Carragher admits Liverpool didn't deserve penalty'' ... .... .... ... ... labda wakichema wachezaji wenu mtakubali lakini chichi tukichema ni walongo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Newcastle United Football Club are an English Premier League association football club based in Newcastle upon Tyne, Tyne and Wear. Founded in 1892 by the merger of Newcastle East End and Newcastle West End, they have won four First Division titles-in 1905, 1907, 1909 and 1927-and six FA Cups-in 1910, 1924, 1932, 1951, 1952 and 1955

Vile unavyozidi kujibu ndivyo unazidi kuchemsha, sasa timu ya Alan Shearer na Kevin Keegan iko wapi kwenye hiyo miaka uliyoweka hapo?!!
 
Kama unaongelea EPL kama ulivyosema mwenyewe hapo juu, then Liverpool is nothing maana hawajawahi kuchukua kikombe ch EPL....plastic! I don't even remember the last time you had a good EPL season.
Since you don't want to remember, you won't remember!!! Sijawahi kuona hoja dhaifu kiasi hiki!! Kwamba unapoongelea mafanikio ya team flani utatizwe na mabadiliko ya majina ya league ya juu ya mataifa husika??? Ikiwa hivyo AC MILAN, REAL MADRID,LIVERPOOL (pole kwa sababu nimeitaja tena LiverPool!!!) BAYEN MUNICH nk hazitakuwa timu kubwa tena Ulaya. Ukiacha unafiki LiverPool ni timu kubwa Uingereza, ndo maana hadi leo hii timu nyingine zote zinafukuzia mafanikio ya Liver.
 
''The ref got it wrong! Carragher admits Liverpool didn't deserve penalty'' ... .... .... ... ... labda wakichema wachezaji wenu mtakubali lakini chichi tukichema ni walongo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
[/QUOTE]
Malipo ni hapahapa Duniani mkuu!!! Kwani umesahau goli la 'beachball kwenye uwanja huuhuu la msimu uliopita??? Imewauma eeh!!!
 
Malipo ni hapahapa Duniani mkuu!!! Kwani umesahau goli la 'beachball kwenye uwanja huuhuu la msimu uliopita??? Imewauma eeh!!![/QUOTE]
Mkuu ni kweli,watu wasahaulifu kweli. mkuki kwa nguruwe
 
''The ref got it wrong! Carragher admits Liverpool didn't deserve penalty'' ... .... .... ... ... labda wakichema wachezaji wenu mtakubali lakini chichi tukichema ni walongo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Malipo ni hapahapa Duniani mkuu!!! Kwani umesahau goli la 'beachball kwenye uwanja huuhuu la msimu uliopita??? Imewauma eeh!!![/QUOTE]

Malipo ni hapahapa Duniani mkuu!!! Kwani umesahau goli la 'beachball kwenye uwanja huuhuu la msimu uliopita??? Imewauma eeh!!!
Mkuu ni kweli,watu wasahaulifu kweli. mkuki kwa nguruwe[/QUOTE]

Mpira sio visasi, kama refa alikosea au kupewa mpunga haijalishi, hayo makosa hayahalalishi makosa mengine .... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 
Heee!! Haya mambo gani ya kukwepa huu msiba wa leo??? Au ndo kusema wenzangu wa Liver wote mko busy na box???
 
Back
Top Bottom